Monday, January 26, 2015

KINANA ATOA POLE KWA MSIBA WA ISSA AHMED OTHMAN


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu,Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu,Pemba.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman,Shenge Juu Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiondoka  nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman baada ya kutoa pole kwa kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman, Shenge Juu Pemba ,tarehe 25 Januari 2015.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.