Friday, January 23, 2015

KINANA APOKELEWA JIMBO LA DONGE ZANZIBAR KWA MCHAKA MCHAKA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa kwa mchakamchaka na vijana wa Jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wa jimbo lao Sadifa Hamis Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasili Jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wa jimbo lao Sadifa Hamis Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na vijana wa jimbo hilo ambapo walipokelewa kwa mchaka mchaka kuelekea kwenye ofisi za Tawi Donge Kipange.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na vijana wa Donge Kipange waliomlaki wilayani Kaskazini B.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi mabati ya ujenzi wa Skuli Katibu wa Tawi la Donge Kipange Bi.Salama Suleiman Simba ,mabati hayo yametolewa na mbunge wa jimbo la Donge Sadifa Hamis Juma ikiwa sehemu ya kutimiza  ahadi zake alizotoa kwa wananchi.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.