LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2015

KINANA AMTEMBELEA RAFIKI WA HAYATI ABEID KARUME


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mzee Hamis Juma Mkadala alipomtembelea nyumbani kwake Wawi Vijijini,Mzee Mkadala alikuwa rafiki mkubwa wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hayati Abeid Aman Karume,inasemekana wakati Karume alikuwa akifanya harakati za Mapinduzi alikuwa akifikia kwenye nyumba ya Mzee Mkadala.
Balozi Ali Abeid Karume akimfahamisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuhusu Mzee Hamis Juma Mkadala (katikati)walipomtembelea nyumbani kwake Wawi Vijini,Chake chake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages