Sunday, January 25, 2015

KINANA AHUTUBIA WANANCHI WA MAKUNDUCHIKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwasalimia wananchi wa Kizimkazi wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Mkunguni.

Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi  Ndugu  Haroun Ali Suleiman akisalimia wananchi wa Kizimkazi wakati akiwasili  kwenye uwanja wa Mkunguni.(5)

Kikundi cha Hamasa kutoka Afisi Kuu  Zanzibar kikitumbuiza kabla ya kuanza kwa  mkutano wa hadhara uliofanyika Mkunguni,Kizimkazi wilaya ya Kusini.


Mjumbe wa Kamati Kuu Hadija Abdoud akiwa amekaa chini kujumuika na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofanyika Mkunguni, Kizimkazi wilaya ya Kusini (11)


Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi  Ndugu  Haroun Ali Suleiman akihutubia wakazi wa Kizimkazi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mkunguni.

Mbunge wa Jimbo Jimbo la Makunduchi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Kizimkazi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mkunguni, wilaya ya Kusini ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alikuwa mgeni wa heshima.

Wananchi wakifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akihutubia wakazi wa Kizimkazi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mkunguni ambapo aliwaambia CCM imejengwa katika misngi imala kama taasisi ndio maana inaendelea kuongoza


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kizimkazi ambapo alisisitiza viongozi wafanye yale wanaofanya wananchi .Katibu Mkuu wa CCM alikuwa anakamilisha ziara yake ya siku 10 katika visiwa vya Unguja.(20)


Viongozi wa CCM wakiungana na wanachama wapya kula kiapo ambapo wanachama wapya 518 walijiunga na CCM kutoka jimbo la Makunduchi kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana

Wananchi wakishiriki dua baada ya kumaliza mkutano wa hadhara mapema 

BOFYA HAPA KWA PICHA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.