Sunday, January 25, 2015

DK.SHEIN NA KINANA WAWASILI PEMBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCMKatibu Mkuu wa CCM Ndugu  Abdulrahman Kinana  Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia kwa ishara ya Saluti mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba tayari kwa kuhudhuria ufunguzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi zitakazo fanyika Januari 25,2015 na ziara ya siku 5
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Seif Shaaban mara baada ya kuwasili Pemba.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akivalishwa skafu na vijana wa chipukizi wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege Pemba.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Hadija Aboud mara baada ya kuwasili Pemba.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana   akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Maadili CCM Maua Daftari mara baada ya kuwasili Pemba ambapo anatarajiwa kujenga na kuimarisha chama kwa siku 5.


Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar)na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana   mara baada ya kuwasili tayari kuhudhuria ufunguzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zitakazofanyika Pemba  tarehe 25 Januari 2015.


Mwakamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar)na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa taji la maua na vijana wa chipukizi mara baada ya kuwasili Pemba
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar)na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  wakati wa mapokezi tayari kuhudhuria ufunguzi wa Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zitakazofanyika Pemba tarehe 25 Januari 2015.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.