BALOZI WA COMORO NCHINI AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais .[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo  .[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  na  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui  Mohamed baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]