Wednesday, December 31, 2014

SALAMU ZA MWAKA MPYA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za mwaka mpya wa 2015 kwa  wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla  na kuwatakia mwaka wenye Amani na Utulivu pia mafanikio makubwa ikiwemo ya Uchumi wa Taifa letu,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.