LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 3, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAAPISHA MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU MPYA WA HESABU ZA SERIKALI, LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam, leo Desemba 2, 2014
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014
 Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo, Desemba 2, 2014
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na maofisa na watendaji wa Ofisi ya CAG
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages