Sunday, December 7, 2014

MWIGULU NCHEMBA ALIPOZUNGUMZA NA MAELFU YA WAKAZI WA GEITA MJINI

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Lameck Mchemba akiwahutubia wananchi wa Geita na kuwaambia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hatu jazi nafasi,Tunatafuta Viongozi wenye uwezo wa kusimamia Halmashauri zetu za Vijiji,Mitaana Vitongozi ili ziweze kufanya kazi za Maendeleo kwa Uadilifu na Ufanisi wa hali ya Kuridhisha
 Kiongozi wa ACT Kanda ya Ziwa(Mratibu) akitoa shukrani zake za dhati kwa Mwigulu Nchemba kwa namna alivyokuwa mfano kwa kutetea Masikini na Wanyonge ndani ya Bunge na Nje ya Bunge.

 Mkuu wa Mkoa wa Geita Mheshimiwa Fatma Mwassa akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambao Mheshimiwa Mwigulu alikuwa mgeni wa Heshima.
 Hizi ni hisia za Wananchi wanaopendezwa na namna Mwigulu Nchemba anavyochapa kazi.
 Maelfu ya Wananchi wa Geita waliofika Kusikiliza Ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mwigulu Nchemba,Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Kero za Wananchi wa Geita.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndugu Msukuma akizungumza na Wananchi wake kuhusu Kero mbalimbali zinazowakumba ndani ya Mkoa wa Geita,Kubwa likiwa Wazawa kutopewa kipaumbele kwenye Madini,Pia unyanyasaji kwa Wachimbaji wadogo.
Picha zote na Festo Sanga
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.