LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 4, 2014

MKUTANO WA VIONGOZI WA MASHINA WILAYA CHAKE

 Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chakechake wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha  Fidel Castro Mkutano wa  Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]

 Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakinyanyua mikono juuu kuunga mkono katiba iliyopendekewa mbele ya Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  alipofanya mazungumzo na Viongozi hao katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama leo,[Picha na Ikulu.]

  Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Chake chake  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika ukumbi wa Cho cha Fidel Castro akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo,[Picha na Ikulu.]

 Msoma Risala ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Chake chake  Hidaya Omar Rajab  aliposoma risala hiyo wakati wa  Mkutano wa kuimarisha Chama alioufanyika leo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
 Kaimu Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chake chake Mafunda Khamis ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Chake chake alipokuwa akifungua Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro leo mkutano uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini  Pemba.[Picha na Ikulu.]
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ili azungumze na  wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Mkoa nwa Kusini Pemba akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM),{Picha na IKULU}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM),[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages