Thursday, December 11, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA WAWAKILISHI WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI (COP20) JIJINI LIMA, PERU

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa Mazingira wa Dunia (Cop20) (hawapo pichani) alipokuwa akiwahutubia leo Desemba 11, 2014. Katikati ni Waziri wa Mazingira wa Sudan, (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam ya Afrika katika masuala ya Majadiliano ya Mabadiliko ya Tabianchi kutoka nchini Sudan, Nagmeldin El-Hassan. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa Mazingira wa Dunia (Cop20) baada ya kuwahutubia leo Desemba 11, 2014, katika Mkutano wa Mazingira Duniani na majadiliano kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, unaoendelea jijini Lima, nchini Peru. Picha na OMR
 Sehemu ya Wawakilishi wa nchi za Afrika katika mkutano wa Mazingira Duniani, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia leo, Desemba 11, 2014, mkutano wa Mazingira Duniani (Cop20) unaoendelea jijini Lima, nchini Peru. Picha na OMR

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.