LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 3, 2014

DK.SHEIN AKUTANA NA MABALOZI MICHEWENI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa   mara alipowasili  leo katika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  Wilaya ya Micheweni  kwa madhumuni ya  kuzungumza na   Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika   katika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  Wilaya ya Micheweni  kuzungumza na   Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM)  .[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofioka katika Viwanja vya  Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  Wilaya ya Micheweni   kuzungumza na   Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akifuatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi baada ya mapokezi alipofika  katika Viwanja vya  Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  Wilaya ya Micheweni kwa ajili ya kuzungumza na   Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM)   .[Picha na Ikulu.]
  Baadhi  ya WanaCCM  wa Wilaya ya  Micheweni  Pemba wakimsikiliza    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa  akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa   Maskani  wa  Wilaya hiyo   katika ukumbi wa  Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  Micheweni  akiwa  katika ziara ya kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiteta jambo na  Naibu  Katibu Mkuu wa  CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Micheweni  katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Kaskazini Pemba .[Picha na Ikulu.]
 Wazee wa Chama cha  Mapinduzi ambao wamefuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi  wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kuimarisha  Chama cha Mapinduzi CCM . [Picha na Ikulu.]
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) Dkt.Mauwa Daftari (kulia)  na Khadija Hassan Aboud wakifuatilia kwa Makini taratibu za Mkutano wa na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Wete uliohutubiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  katika ukumbi  wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea  Risala kutoka kwa  Balozi  Namba 20 Maryamu  Omar Ali  wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  Wilaya ya Micheweni  katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Kaskazini Pemba  .[Picha na Ikulu.]
  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa   alipokuwa akimkaribisha  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kuzungumza na machache katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani   ili nae akmaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kuhutubia Mkutano huo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Kaskazini Pemba  .[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza na  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika   Ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya   Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza na  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika   Ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya   Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages