LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 4, 2014

DK.SHEIN AKABIDHI BOTI NA MASHINE MICHEWENI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Boti na Mashine Bw.Shamte Hamadi Juma wa Kijiji cha Maziwa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni  kwa niaba ya kikundi cha Wavuvi Kheri Moyo Mmoja Pemba hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jana kijijini hapo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages