LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 2, 2014

DK. SHEIN AZIDI KUKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Hassan Khatib Hassan pamoja  na Viongozi wengine wa Chama  alipofika katika Viwanja vya Jamhuri  Holl  Wete  kuzungumza na  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wete    Mkoa wa Kaskazini Pemba leo .[Picha na Ikulu.]

  Baadhi ya WanaCCM  wa Wilaya ya Wete Pemba wakimkaribisha   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa  Maskani  wa  Mkoa wa Kaskazini Pemba katka ukumbi wa Jamhuri akiwa katika ziara za kuimarisha Chama .[Picha na Ikulu.]

 Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Wete wakifuatilia kwa makini taraatibu za Mkutano huo uliofanyika leo katik na a Ukumbi wa Jamhuri  ikiwa ni katika kuimarisha Chama ,[Picha na Ikulu.] 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein   akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa  Maskani  wa  Mkoa wa Kaskazini Pemba kaitka ukumbi wa Jamhuri akiwa katika ziara za kujenga na kuimarisha Chama .[Picha na Ikulu.]

 BAADHI ya WanaCCM  wa Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa  Maskani  wa  Mkoa wa Kaskazini Pemba katka ukumbi wa Jamhuri akiwa katika ziara za kuimarisha Chama .[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea Utenzi  baada ya kusomwa  na Asha Msanif wakati wa  Mkutano wa kuimarisha Chama alioufanya leo kwa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya  Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages