Friday, December 5, 2014

BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes alipofika Kujitambulisha  leo Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana   na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar  Jorge Augusto  Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha   Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.