Wednesday, November 19, 2014

TANGAZO: NYUMBA INAPANGISHWA MAKUMBUSHO

Nyumba ya kisasa  inapangishwa,  ipo mita 200 kutoka kituo cha basi makumbusho,(nyuma ya ofisi za tigo), barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam. Ina uzio na eneo kubwa la kuegesha magari,  maji na umeme, vyumba viwili vya kulala kimoja self contained, sebule,jiko,stoo, dining room. Kodi ya pango kwa mwezi ni shilingi 500,000/- tu. Kwa yeyote anayeshitaji nyumba hiyo iliyo karibu na kwenda popote jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake, basi “atwange” namba +255-7652-62321 au wasiliana kwa email:- roseangel44@yahoo.com. Haina dalali (DALALI MARUFUKU). Mawasiliano hayo ni moja kwa moja kwa muhusika. KARIBUNI SANAShare:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.