LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUWA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora
Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

 Sehemu ya wadau wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza

 Kusanyiko la Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

 Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa
Manispaa ya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka
Konisaga na Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa
umakini yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na
Kupambana na Rushwa.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages