Tuesday, November 25, 2014

MKUTANO WA MABALOZI WILAYA KATI

 Mwenyekiti CCM Mkoa Kusini Unguja Ramadhan Abdalla Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ili kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kati Unguja,mkutano huo umefanyika leo viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha  Uroa,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Kati Unguja wakati wa mkutano maalum  wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika  leo katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa, [Picha na Ikulu.]

Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.