Friday, November 28, 2014

MKUTANO WA CCM WA MABALOZI KASKAZINI A UNGUJA.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika Hoteli ya Bravo Club Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini A kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani akiwa katika ziara  zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,{Picha na Ikulu.]

  Baadhi ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi hao katika Ukumbi wa  Hotel ya Bravo Club Kiwengwa wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika  ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM, {Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakati wa mkutano wa maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM kwa  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,{Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Ali Makame Khamis  wakiwa katika ukumbi wa  Hoteli ya Bravo Club Wilaya ya Kaskazini A Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika kuimarisha Chama,{Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika ukumbi wa Hotel ya Bravo Club Kiwengwa wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika  ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM, {Picha na Ikulu.]
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.