Tuesday, November 18, 2014

AFISA WA CHAMA APATA KAMERA YA KISASA, NI NIKON D 90

 Ofisa wa Chama, Makao Makuu ya CCM, Bashir Nkoromo akikabidhiwa kamera ya Kisasa aina ya Nikoni D90, baada ya kuinunua leo katika duka moja mjini Dar es Salaam, kwa sh. milioni 1.8. Bashir mbali na kuwa ofosa wa Chama pia ni Mpigapicha Mwandamizi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru Mzalendo na Burudani na Pia ni Mtayarishaji Mkuu wa Blog hii na theNkoromo Blog
Bashir akiijaribu kamera aina ya Nikon D90 baada ya kuifikisha nyumbani akiwa ameinunua kwa bei ya sh. milioni 1.8 kwenye duka la vifaa vya picha jijini Dar es Salaam.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.