LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 28, 2014

NAPE AZUNGUMZIA NDOA YA UKAWA


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ni jambo nzuri kwa watu dhaifu kuungana,na inaonyesha ni kiasi gani CCM ni chama imara hadi kufikia watu kuungana kwa ajili ya kushinda na chama kimoja.

Akizungumzia misingi ya kuungana huko amesema hakuna msingi mzuri wa kuungana kwao hata kama wangekua na dhamira ya kweli,
Sauti ya Nape akizungumza na Uhuru Fm mapema leo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages