LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2014

MAHAKAMA YA WAZI YA KINANA YAPATA UMAARUFU SANA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amekuja na aina mpya ya kuwakutanisha wananchi na viongozi wao  kwenye mikutano yake ambapo amekuwa akitoa nafasi kwa wananchi kusema kero zao mbele ya viongozi wao na kutaka majibu yapatikane hapo hapo.

B

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages