LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2014

WANANCHI WA KIJIJI CHA CHIUTA WAFUTURU PAMOJA NA NAPE NNAUYE


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifuturu pamoja na wanakijiji cha Chiuta ,Lindi Vijijini mkoani Lindi .Wanakijiji cha Chiuta walimualika Nape Nnauye kwa heshima yake kama mtoto wao na Baba yake ambaye alizaliwa hapo.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki dua ya kushukuru baada ya kufuturu pamoja na wanakijiji cha Chiuta,wilayani Lindi Vijijini.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akionyeshwa mazingira mbali mbali ya kijiji cha Chiuta na wanakijiji waliomkaribisha kufuturu nyumbani Lindi Vijijini .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisikiliza redio muda mfupi kabla ya kuhudhuria futari aliyokaribishwa na wananchi wa kijiji cha Chiuta ,Lindi Vijijini.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages