LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 1, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIHUTUBIA TAIFA ASISITIZA KINACHOJADILIWA BUNGENI NI RASIMU YA TUME YA JAJI WARIOBA NA SI VINGINEVYO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia Taifa katika Hotuba yake ya Mwisho wa Mwezi.
Rais Jakaya Kikwete amelihutubia Taifa  ambapo alizungumzia mambo mbali mbali, na kuwataka UKAWA kurudi Bugeni
  • Awataka kutumia vyema fursa ya majadiliano
  • Asisitiza hakuingilia mchakato wa Katiba mpya
  • Asema mgogoro uliopo sasa hauna maana kuendelea

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages