LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 1, 2014

DK. FENELLA MKANGARA MGENI RASMI UZINDUZI WA MAFUNZO YA MAKOCHA WA SOKA LEO, UWANJA WA KARUME

Dar es Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa  mafunzo ya makocha wa mpira wa miguu utakaofanyika kwenye Uwanja wa Karume, leo Agosti Mosi, 2014, kuanzia saa nne asubuhi.


Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawsiliano Serikalini, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imesema, mafunzo hayo yanaendeshwa na wataalam kutoka Barcelona nchini Hispania

Kufuatia umuhimu wa tukio hilo, Waandishi wa habari wamekaribishwa kuhudhuria.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages