LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 19, 2013

KINANA AWAPONGEZA VIJANA WA GAIRO KWA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA MAENDELEO.

Vijana wa Chipukizi wakiwa kwenye Gwaride la kumpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana,wilayani Gairo, tarehe 18 April 2013






Wananchi wa Chakwale,wilayani Gairo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana mara baada ya kufungua shina la Wakereketwa Sokoni.


Vijana wa CCM ,Shina la Kibedya ambao wao wanajishughulisha na kilimo pamoja na kupukuchua mahindi


Zefania Magiga aliyekuwa Mwenyekiti wa kata Chadema,akitangaza rasmi kuhamia CCM kwenye Mkutano wa hadhara ulifanyika Giro mbele ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana.








No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages