LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2012

ZIARA YA KINANA MTWARA YAFANA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Mtwara kuanza ziara ya siku moja kutembelea matawi na mashina ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo. Kulia Ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Mohamedi Sinani. (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia viongozi wa CCM ngazi mbalimbali mkoani mkoani Mtwara, alipokutana nao kwenye ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara, akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea mashina na matawi ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo.Picha na Bashir Nkoromo).


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mjumbe wa Shina namba mbili, katika kijiji cha Mkunwa Mtwara vijijini, leo akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea mashina na matawi ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo.Picha na Bashir Nkoromo).


1 comment:

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages