![]() |
| Mwanzo Milinga akiwa na mwanae George wakisimama mbele ya baadhi za kazi nzuri alizofanya.(Photo Exhibition on Pastoralist Maasai) . |
![]() |
| Watu kutoka kila pembe ya dunia walikuwepo kwenye kushuhudia maonyesho hayo. |
![]() |
| Wanafunzi wa Mwanzo Millinga hawakuwa mbali kuchukua matukio. |
![]() |
| Asia Mbwana akiwa kazini Asia ni mmoja wa wadada wachace wenye mapenzi na fani ya kupiga picha. |




0 comments:
Post a Comment
Mdau, Blogu hii ni yako,uwe mwana-CCM au si mwana-CCM, kumbuka, kwa kuwa CCM ndicho chama tawala, Maoni yako yatasaidia sana kujua wewe Mwananchi unafikiri kifanyeje kuboresha zaidi maisha yako na ya wenzako. Toa Maoni yaliyo makini yawafikie wenzako Duniani kote. KUMBUKA, HATURUHUSU MAONI YANAYOCHAFUA HALI YA HEWA KIMAADILI AU KISIASA. Mtayarishaji Mkuu.